Ndio tatizo la watu kusoma bila malengo
mimi pia nimemakiza chuo, sina kazi nipo tu kazi yangu kuu ni kufuatilia siasa tuNimemaliza chuo mwaka huu,bachelor in banking and finance,nipo tayari kufanya kazi yoyote halali,naomba msaada wenu wadau.Nipo dar es salaam kwa sasa lakini naweza kufanyia mkoa wowote,Asanteni!.
Nmb wametangaza nafasi za tempo, changamkia, zone ya dar na zone ya pwani
Kajitolee nmb kama wakala wa chapchap ac ukijituma watakuajiri
Nimemaliza chuo mwaka huu,bachelor in banking and finance,nipo tayari kufanya kazi yoyote halali,naomba msaada wenu wadau.Nipo dar es salaam kwa sasa lakini naweza kufanyia mkoa wowote,Asanteni!.Contact; lutegebitata@gmail.com
Vuta subira
Weka alama ya vema kwa magufuli
Utasahau yote hayo ndg yangu trust me
Kwa kuanzia nikupe u foreman kusimamia construction za barabara ya itigi tabora utaweza...!!!!???
mkuu ulitakiwa kuchangia jambo lenye kuleta msaada kwa mtoa post. Inaonekana una uvivu sana wa kufikiri
Kajitolee nmb kama wakala wa chapchap ac ukijituma watakuajiri