Habari zenu wakuu
Mimi ni kijana natafuta kazi kwa maeneo yafuatayo ambayo nina uzoefu nayo kwa hali ya juu sana ikiwemo senior stock controller, sales, customer care service operator, operation manager, na supervisor.
Kwa wewe mwenye bakery, petrol station, na makampuni mengine tunaweza kufanya kazi pamoja na kwa weledi mkubwa ili kuleta maendeleo.
Namba zangu za simu 0654918030,0783068930. Email