Natafuta kazi, nina Astashahada katika fani ya Mipango na Maendeleo Vijijini

Chimunu

Senior Member
Mar 4, 2013
159
25
Mimi ni kijana kutoka wilaya ya Magu nimemaliza masomo yangu katika ngazi ya cheti fani ya mipango na maendeleo vijijini. Ninaomba mdaa wa kupata kazi inayoendana na fani yangu kwa mikoa ya Mwanza na shinyanga
 
Dogo unaonekana haupo tayari kufanya kazi kama bado unachagua sehemu ya kufanya kazi.

Tuendelee kupambana na hali zetu.Zikiisha za kawaida tutaanza kuzisoma namba za kirumi.Asante
 
mimi ni kijana kutoka wilaya ya Magu nimemaliza masomo yangu katika ngazi ya cheti fani ya mipango na maendeleo vijijini. Ninaomba mdaa wa kupata kazi inayoendana na fani yangu kwa mikoa ya Mwanza na shinyanga
Nenda kijiii cha Koromije karipoti na uanze kazi!
 
Mbona fani yako ipo vizur...ukiachana na vijijn unaweza kufanya mipango na maendeleo katika kuendesha maisha yako..
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom