Natafuta kazi nimkimbie jk

utiyansanga

JF-Expert Member
May 19, 2010
213
7
Jamani nisaidieni kazi kwenye taasisi za kiraia ,nimechoka kutumikia serikali ya awamu ya nne ,sasa yaelekea bado ninao mpaka m2015! nina BA katka utawala na uzoefu mambo ya jamii hii serious bosi wangu kasema hawezi kulipa mishaara mizuri hata kwa miaka 8!nimemmyima kura kama alivyoomba haikuwezekana!pleas!
 
Jamani nisaidieni kazi kwenye taasisi za kiraia ,nimechoka kutumikia serikali ya awamu ya nne ,sasa yaelekea bado ninao mpaka m2015! nina BA katka utawala na uzoefu mambo ya jamii hii serious bosi wangu kasema hawezi kulipa mishaara mizuri hata kwa miaka 8!nimemmyima kura kama alivyoomba haikuwezekana!pleas!

Mkuu Kukimbia Tatizo si suluhu hata siku moja, Kaa hapo Ulipo na Ninaamini Wewe ndo utakuwa chachu ya mapinduzi

Hebu Soma Summary Ya Hiki Kitabu Mkuu Afu Unipe Matokeo ( Who Moved My Cheese), Tafadhali usidharau nakuomba uchukue muda kusoma
 

Attachments

  • Who-Moved-My-Cheese.ppt
    241 KB · Views: 94
Wewe kaa hapo hapo umulike ufisadi vizuri, kama una access na mi document ya ufisadi imwage hapa tuwafanyizie live.
 
bwana Payuka ahsante ,pamoja na wenzako ,unajua nchi hii ni heri usiijue,ukiijua ianuma!
 
usikimbie kazi kwa kumuogopa mwajiri kwani hiyo kazi yeye ni msimamizi wa muda tu atapita watakuja wengine.
 
No best kaa tu hapo hapo ukirekebisha mambo ilitokea bahati nzuri ukapata sehemu waweza kwenda otherwise be patient and keep patience!
 
Try the USA

Huko nako kama hujasomea elimu yako huko kupata kazi ni ngumu nasikia, Wanaona elimu toka taifa lingine hasa Africa kama siyo bora kama ya kwao. Mpaka waone kuna kitu kinafanana na cha kwao ndo wanaweza kukufikilia. Isitoshe wengine huko nasikia nchi kama Tanzania hawaijui ndo Umwambie umesomea degree yako tz wala hakufikilii hata kidogo. Kaa hapa hapa bongo. Kuna rafiki yangu alishawahi kunambia baadhi yao walikuwa wanajua Africa ni nchi nayo, inasikitisha lakini kutojuwa jeografia japo kwa upande mwingine siwarahumu maana wanajiona wao ndo super power hawahangaiki kujuwa duniniani huko kuna nini. Wanazijuwa tu nchi wanazopigana nao Ugaidi na baadhi ya nchi chache za Africa zenye matukio.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom