Natafuta kazi, nimesomea ualimu wa shule ya msingi

iampizooh

Member
Sep 2, 2017
43
34
Naitwa Peter Jonas nimesomea ualimu elimu msingi nimemaliza mwaka jana..natafuta kazi yoyote ya kufanya ili niweze kupata kipato..pia nina uzoefu wa computer programs like microsoft word and Excel. Namba zangu Ni 0623572845
Mungu awe nanyi daima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rafiki..kama una aridhi kijijini,ya baba au babu yako niambie nikupe ushauri,maofisini ndugu yangu hakuna pesa ya kukutoa kimaisha zaidi ya kuchumia tumbo na kuwaza uibe vipi

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
Toa ushauri kwa wote mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom