Natafuta kazi, nimesomea Bachelor of Education in Psychology

Mkuu nakushauri Anza Safari yako achana na ajira mkuu, inaonesha mindset yako ipo kwenye ajira tu tafuta vitu vingine ajira hazina msingi wowote, Mambo ya kuitana boss yashapitwa na wakati saivi Kuna course kibao online ambazo unaweza jifunza for three months na ukajiajiri

Kila raheli
 
Mkuu nakushauri Anza Safari yako achana na ajira mkuu, inaonesha mindset yako ipo kwenye ajira tu tafuta vitu vingine ajira hazina msingi wowote , Mambo ya kuitana boss yashapitwa na wakati saivi Kuna...
Sawa njia zote tunatafuta pesa kama ww umejiajiri una bahati mkuu hakuna asie penda unavyo pendekeza tuko tofauti hasa mazingira na uwezeshi. Mfano hizo kozi gani nitaso a online hhalafu nijiajiri? Zinahusu nini?
 
Bongo hiyo kozi ni ngumu kupata kazi Ila Nje ya nchi unaweza kupata.
Unaweza kutembelea balozi za Nje wakupe ABC za kupata kazi Huko
hauwezi jua angalia online pia sio lazima Tanzania.
 
Kuna jamaa yangu ni mwalimu serikalini na alisoma BACHELOR OF PSYCHOLOGY WITH EDUCATION.
Na naona uwa wanaajiriwa kaka vipi mashuleni umejaribu brother
 
Sawa njia zote tunatafuta pesa kama ww umejiajiri una bahati mkuu hakuna asie penda unavyo pendekeza tuko tofauti hasa mazingira na uwezeshi. Mfano hizo kozi gani nitaso a online hhalafu nijiajiri? Zinahusu nini ??
Endelea kutafuta kazi mkuu , Ila kumbuka hatma ya maisha yako ipo mkononi mwako, eti mazingira wezeshi duuh ungejua watu tuliondoka home na 10000 kuingia mjini kutafuta usingesema hivo
 
Bongo hiyo kozi ni ngumu kupata kazi Ila Nje ya nchi unaweza kupata.
Unaweza kutembelea balozi za Nje wakupe ABC za kupata kazi Huko
hauwezi jua angalia online pia sio lazima Tanzania.
Don't Confused...Hiyo ni kozi ya Uwalimu kifupi jamaa ni Mwalimu hayo aliyoa yaandika ni Extra tu ambayo anaweza kuyafanya kutokana kozi yake amesoma na Psychology zipo nyingi hizo kozi za BED...

Kifupi ni Mwalimu rahisi kupata kazi Shuleni na Serikalini.
 
Chief iko hivi kuwa mwalimu ndiyo lengo la kozi hasa wakilenga kuwafundisha walimu wanaofundisha wanafunzi ngazi mbalimbali lakini BEd Psychology ya UDSM tofauti sana na vyuo vingine hatuna option ya somo lolote kama hesabu ,kemia biology n.k lakini kubwa kuliko ni kufanya Counseling haijarishi ni shuleni au mtaani pale palipo na watu wenye vinywa tunafanya kazi, mfano sport psychology inanipa credit kuwa sports counselor au criminal psychology inanipa kufanya kazi mahakamanikwa mifano hiyo wote mko sawa. Dont worry sisi tunataka hela haijarishi iwe kujiajiri au kuajiriwa kama mna mchongo nipeni niingize kipato.
 
Unamaanisha Bed Psychology UDSM hawasomi masomo ya kufundishia kama Biology, Chem nk.

Kama itakuwa hivyo ni mbaya maana vyuo vyengine vinavyotoa Bed Psychology wanasoma na masomo ya kufundishia na mwisho wa siku hayo uliyoyasema juu yote bado wanafanya pia.
 
Iko ivyo kwa UDSM hawatoi n masomo ya kufundishia, Ila kwengine masomo ya kufundishia ni lazima
 
Back
Top Bottom