Natafuta kazi, nimesoma Shahada ya Maendeleo ya Jamii

Status
Not open for further replies.
kuna outsourcing company na bpo km ison, erolink, na nyinginezo. hawa wanaajiri customer cares wa mitandao km airtel, voda, tigo nk. ison wapo faykat towers makumbusho imepakana na jengo la airtel. masaa 4 ya kazi end of month 200k salary kuna overtime kibao. kwa kuanzia unaweza fanya hivo wakti ukiendelea kunetwork na kupata financial capital. hata mi nmepiga community, bila experience kazi zake kupata tabu. Kwa wasifu km kweli una sifa hizo, hapa nilipo jishikiza licha ya maslahi kidogo kuna nafasi ya kukuza career yako sababu ya patnering NGOs angalau ni nyingi na kuna capacity building nyingi. sina uwezo wa kukupigia pande lkn nitakupa email ya mkurugenzi ujilipue mwenyewe
Nimekupm mkuu
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom