Natafuta kazi, nimesoma pharmaceutical science

Annah simbeye

Member
Sep 6, 2021
13
10
Mimi ni bint wa miaka 21 natafuta ajira nimesoma pharmaceutical science miaka miwili ila mwaka wa pili semester ya mwisho nimeshindwa kufanya mtihani kwa kukosa Ada.

Natafuta ajira yoyote.
 

Cheki hii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom