Natafuta kazi nikiwa na Diploma ya Records Management

mwanambulu

Member
Jul 17, 2014
59
26
Habari natafuta kazi, nina Diploma ya Records Management

Pia nina uzoefu wa kazi ya secretary, Mwenye kusikia nafasi ya kazi namba yangu ni 0714140942
 
HABARI naitwa dorothea natafuta kazi nina Diploma ya records management ,,,pia nina uzoefu wa kazi ya secretary...... mwenye kusikia nafasi ya kazi no yangu ni 0714140942
Kila la kheir dada Dorothea wapo watao kusaidia humu na kukubeza ila kumbuka kuwa makini sana! Dm zitajaa pia na sms za kutosha
 
Uwezo wa kufikiri mdogo,nawasi wasi hata umri wako utakuwa miaka 30 kurudi nyuma

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mimi na uwezo mdogo sana ila karibu sana ukihitaji pia kutangaza bidhaa karibu ndugu dalali
IMG_20190304_152329.jpg
IMG_20190322_124325.jpg
 
Inshort hiyo kazi ya Dalali nishafanya sana nakumbuka ilini cost nusu nipate kesi ya ARMED ROBERRY na nakumbuka kipindi niko ndani nilikutana na MadalaIi Wengi sana hasa Wamashamba,Magari na vitu vya Deal na wengi ni watoto wa GEREZANI pale na ndo kazi zao hizo wale jamaa ko kuwa smart sana kwenye Mishe zako Ndugu Mwenye upeo mkubwa UDALALI si kazi ya kujitapa nayo sana au kujiona una upeo mkubwa wa kuchanganua na kujua Mengi na kuanza kudharau watu bora hata ungeuza maji ningekuona mjanja na mtafutaji wa ila sio DALALI alafu unavimba nawewe umejiajiri🤣🤣🤣 ooob vijana mjiajiri.

#Case closed.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom