Natafuta kazi nijikimu kimaisha

Sitachoka

JF-Expert Member
Nov 17, 2011
3,030
1,303
Wadau kwema.

Kijana wenu natafuta kazi niweze kujikimu kimaisha, nina hali mbaya sana kiuchumu hali ambayo inaniletea msongo wa mawazo kufikia hatua ya kuwaza mambo mabaya..

Kazi nazoweza kufanya
Kazi ya sales
Storekeeper
Kusaidia fundi.
Kazi ya kusimamia mradi
Kazi ya usafi
Na kazi nyinginezo ambazo ukinielekeza naweza kuzifanya kwa weledi mkubwa kwasasa niko Dodoma ila naweza kufanya kazi popote nchini hata nje ya nchi pia.

Kwa aliye na kazi naomba msaada wake niweze kuishi ndugu wanaJf

Naomba usinikebehi..

Mawasiliano 0716863406
 
Ngoja wakuu wajee watoe msaada hapa kwasababu wengine humu tumeanzisha nyuzi za kutosha kule Jukwaa la kazi na ajira, ila hatujapata Msaada mpaka leo ila tunaendelea kuvumilia taratibu
 
Sijawahi kuona hapa mtu awaye yote akiomba msaada wa mawazo kuhusu kujiajiri, ajira zenyewe zipo wapi Bongo hii? Palipo na watu wengi mf dsm hiyo ni biashara na mtaji tosha..hebu fikiri nje ya box ndugu tafadhali
 
Wadau kwema.

Kijana wenu natafuta kazi niweze kujikimu kimaisha, nina hali mbaya sana kiuchumu hali ambayo inaniletea msongo wa mawazo kufikia hatua ya kuwaza mambo mabaya..

Kazi nazoweza kufanya
Kazi ya sales
Storekeeper
Kusaidia fundi.
Kazi ya kusimamia mradi
Kazi ya usafi
Na kazi nyinginezo ambazo ukinielekeza naweza kuzifanya kwa weledi mkubwa kwasasa niko Dodoma ila naweza kufanya kazi popote nchini hata nje ya nchi pia.

Kwa aliye na kazi naomba msaada wake niweze kuishi ndugu wanaJf

Naomba usinikebehi..

Mawasiliano 0716863406
Ungekuwa DSM kuna mchongo namuona dogo anatembea nao, ningeweza ku share nawe.
 
Humu hakuna mtu wa kumuajiri mtu mwingine kiongozi..... BITTER TRUTH, BUT IT IS BETTER TO ACCEPT IT. Ma'boss wako busy na kazi hawashindi humu

MY ADVICE
1.Jichanganye na vijana wenzako iwe mtaani au hata uliomaliza nao shule angalau watakusaidia lkn sio humu

2. Jaribu kuzunguka maofisi bila kukata tamaa, haijarishi watakuwa wanakujibu vipi au ni ofisi ngapi umekosa kosa kazi, Cha muhimu ni kutokata tamaa

NB. KAMA TUPO HAI BASI TUMAINI LIPO🙏
 
Watu wa JF wajuaji sana, pia they are not that serious ila kiukweli michongo midogo midogo ya kupambana zipo kibao tu. Ila unaweza ku share ukaanza kubutuliwa matusi na kejeli km zote
Sio wote mkuu,wengine tupo serious na hali ni tete.
Kama una cha kusaidia,fanya tu mkuu ,ktk watano kuna mmoja utamsevu na utapata baraka
 
Humu hakuna mtu wa kumuajiri mtu mwingine kiongozi..... BITTER TRUTH, BUT IT IS BETTER TO ACCEPT IT. Ma'boss wako busy na kazi hawashindi humu

MY ADVICE
1.Jichanganye na vijana wenzako iwe mtaani au hata uliomaliza nao shule angalau watakusaidia lkn sio humu

2. Jaribu kuzunguka maofisi bila kukata tamaa, haijarishi watakuwa wanakujibu vipi au ni ofisi ngapi umekosa kosa kazi, Cha muhimu ni kutokata tamaa

NB. KAMA TUPO HAI BASI TUMAINI LIPO
MKUU NIMEKUELEWA MNOOOOOO KAMANDA DAH APPRECIATE BRO
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom