Natafuta kazi, Napenda kufanya kazi

Sitachoka

JF-Expert Member
Nov 17, 2011
3,023
1,292
Ndg zangu, natafuta kazi mimi siyo msomi mwenye vyeti wala Cv elimu yangu sikufanikiwa kumaliza elimu ya sekondari, kuna watu najua wana kazi zinazotufaa sisi wenye elimu kama yangu kama unayo tafadhari naomba tuwasiliane kwa sms kupitia simu namba 0685234854.
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom