Jamani naomba kupata taarifa za kazi zinazohusiana na education popote pale Tanzania...........
Shule yetu ya Kata kule Makete haina walimu, kama uko tayari sisi tutakuchangia nauli ya kwenda huko, sisi tutakwenda wizarani wenyewe kuomba ili uanze january kufundisha kule kwetu.
Acha kumtisha
Dah we malila una dhambi kweli nyinyi mtamchangia nauli au sio hahaaa