Natafuta kazi mimi nimesoma education duce | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta kazi mimi nimesoma education duce

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by only83, Nov 12, 2010.

 1. only83

  only83 JF-Expert Member

  #1
  Nov 12, 2010
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Jamani naomba kupata taarifa za kazi zinazohusiana na education popote pale Tanzania...........
   
 2. D

  Domo Zege JF-Expert Member

  #2
  Nov 12, 2010
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 687
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Subiri wizara itatoa nafasi za kaz ndugu yangu pia mbona mashule mengi sana
   
 3. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #3
  Nov 12, 2010
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,379
  Likes Received: 3,337
  Trophy Points: 280

  Tulia mdogo wangu kazi utapata tu ni mapito tu haya..
   
 4. mbuvu

  mbuvu Member

  #4
  Nov 12, 2010
  Joined: Jul 3, 2009
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Nenda Wizarani watakupangia shule za kata ziko kibao hazina walimu.
   
 5. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #5
  Nov 13, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  education mbona unasubiri tu location na sio kutafuta kazi
   
 6. v

  venance E. New Member

  #6
  Nov 17, 2010
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kazi zipo nyingi hasa za Ualimu. Wanahitajika sana hasa vijijini wanakopakimbia wengine. Embu nenda wizara ya mafunzo na ufundi pale kama hawajakupa kazi.
   
 7. M

  Malila JF-Expert Member

  #7
  Nov 17, 2010
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Shule yetu ya Kata kule Makete haina walimu, kama uko tayari sisi tutakuchangia nauli ya kwenda huko, sisi tutakwenda wizarani wenyewe kuomba ili uanze january kufundisha kule kwetu.
   
 8. Lutala

  Lutala JF-Expert Member

  #8
  Nov 17, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Acha kumtisha
   
 9. B

  Brodang Member

  #9
  Nov 19, 2010
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dah we malila una dhambi kweli nyinyi mtamchangia nauli au sio hahaaa
   
 10. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #10
  Nov 19, 2010
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,041
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  ASANTE KWA KUONYESHA MOYO WA UZALENDO...... je unatafuta kazi ya ualimu au nyingine?
   
 11. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #11
  Nov 19, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  Mkuu usijilimit kwa ualimu tu hata fani nyingne we zamia tu. Kazi ni kazi bwn hali mradi uwe kwenye payroll. Nakushauri pia uangalia na banks kama access bank,advans bank,akiba kwani sometimes wanaandika "any discipline" utafanikiwa mkuu!
   
 12. m

  mulashan Member

  #12
  Nov 20, 2010
  Joined: Jan 8, 2010
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nitafute kwenye simu nitakupa go ahead.0755498013
   
 13. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #13
  Nov 20, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,252
  Likes Received: 19,383
  Trophy Points: 280
  mshahara unataka kuanzia tsh ngapi?
   
 14. M

  Malila JF-Expert Member

  #14
  Nov 20, 2010
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Nimemkaribisha kwetu na ofa nimeweka ili aende huko,sijamtisha hata kidogo.
   
 15. M

  Malila JF-Expert Member

  #15
  Nov 20, 2010
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Ndio, nauli tunamchangia,na nyumba tutamtafutia nzuri. Kama yuko serious aende tu Makete.
   
Loading...