Natengeneza washing machine aina zote pia nasuka control panel aina zote star and delter stater forward and reverce stater pia ninafanya comfigeration za frequency driver aina zote.
Umri ni 36 naishi Tabata nina uzoefu katika fani hiyo ninafunga makarasha aina zote na batching plants pia.
Umri ni 36 naishi Tabata nina uzoefu katika fani hiyo ninafunga makarasha aina zote na batching plants pia.