Natafuta kazi Mimi ni clinical officer

Twyn

JF-Expert Member
Dec 19, 2020
999
1,000
Habarini jamani,,Mimi ni kijana wa kiume umri miaka 24,nimemaliza course ya clinical officer 2020 na nimekua registerd na board na ninayo leseni ya kazi.
Natafuta kazi kwenye mahospitali au vituo vya afya,uuzaji kwenye pharmacy na hata pia kazi kwenye mashirika pia nikipata nitashkuru.
Makazi yangu kwa sasa ni daresalam,lakini mikoani nipo tearii kufanya pia tukipatana..
Shukran .
 
Justdr

Member
Jun 1, 2021
15
45

Amref wametangaza kazi, nenda ujaribu na huko
 
Vanee

New Member
Nov 30, 2021
3
45
Habarini jamani,,Mimi ni kijana wa kiume umri miaka 24,nimemaliza course ya clinical officer 2020 na nimekua registerd na board na ninayo leseni ya kazi.
Natafuta kazi kwenye mahospitali au vituo vya afya,uuzaji kwenye pharmacy na hata pia kazi kwenye mashirika pia nikipata nitashkuru.
Makazi yangu kwa sasa ni daresalam,lakini mikoani nipo tearii kufanya pia tukipatana..
Shukran .
Habari yako ndugu, nimekutafuta kukuuliza kuhusu clinical officer specific kwenye leseni na usajili kwenye board maana Nina mdogo wangu naye kahitimu na hajui ni vipi anaweza pata hivyo viwili maswali yangu kwako.
1. Hiyo leseni ni ya Nini na inatolewa wapi na process ya kuipata ni ipi?
2. Ma clinical officer mnasajiliwa kwenye board ipi?
3. Process ya usajili kwenye hiyo board
 
Afisa Tabibu

Member
Oct 29, 2021
38
95

Leseni ndo inayokuruhusu wew kufanya kazi za kitabibu, lessen inatolewa na Medical Council of Tanganyika (MCT). Unatakiwa uwe na account huko MCT, namna ya kujisajili ni rahisi tu, unaingia kweny website ya MCT then kuna maelekezo pale ya kufuata. Utatakiwa kulipa kiasi cha pesa na kila kitu utakikuta kt website yao ya MCT. Karibu
 
cmp

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
4,034
2,000
Habarini jamani,,Mimi ni kijana wa kiume umri miaka 24,nimemaliza course ya clinical officer 2020 na nimekua registerd na board na ninayo leseni ya kazi.
Natafuta kazi kwenye mahospitali au vituo vya afya,uuzaji kwenye pharmacy na hata pia kazi kwenye mashirika pia nikipata nitashkuru.
Makazi yangu kwa sasa ni daresalam,lakini mikoani nipo tearii kufanya pia tukipatana..
Shukran .
Teari ndo nini?Halafu unatarajia mtu akuamini.
 
Vanee

New Member
Nov 30, 2021
3
45
Leseni ndo inayokuruhusu wew kufanya kazi za kitabibu, lessen inatolewa na Medical Council of Tanganyika (MCT). Unatakiwa uwe na account huko MCT, namna ya kujisajili ni rahisi tu, unaingia kweny website ya MCT then kuna maelekezo pale ya kufuata. Utatakiwa kulipa kiasi cha pesa na kila kitu utakikuta kt website yao ya MCT. Karibu
Asante sana mkuu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom