Natafuta Kazi kwenye Stationary

Danitha

Member
Mar 21, 2019
27
12
Mwenye kuhitaji mhudumu wa stationery napatikana hapa kwa mawasiliano piga namba 0768876717. USUMBUFU HAUHITAJIKI
 
Mbona unatafuta kazi kibabe sana binti...!!
Hata kama kweli kuna mtu anania ya kukusaidia, unadhani kwa uandishi huo utaweza kumshawishi..??
Haya, haujajieleza vya kutosha kama upo wapi, unauzowefu wa muda gani kwenye hiyo kazi, unajua kutumia vifaa gani na kadhalika..
Na usidhani kama kuweka namba ya sim kwako itakuwa rahisi kupata unacho kihitaji/kitafuta, sana hiyo namba ulio iweka nina hakika 90% ya watakao kupigia watakua sio kwa nia na madhumuni uliyo yakusudia.
Pia, kwajinsi jf ilivyo badilika usijiaminishe kwamba hiyo namba itaaminika kama kweli wewe ulivyo kusudia kuiweka hapa jamvini.
 
Mwenye nia nzuri ya kuhitaji mhudumu ataipiga hiyo namba na atapata maelezo yote kabisa ndo maana namba imewekwa.
 
Tuliwashozea wana jf kwa sababu wengine Wamekalia kuwakosoa wenzao, wenyewe binafsi hawajiangakii wako vipi kila MTU atakayepost hapa yupo tu hata hawafikirii cha kumshauri MTU Ila wanaandika upuuzi
 
Kuweka namba ni hatari zaidi mamy ndio maana wanakwambia afadhali uweke email
 
Tatizo hujataja uzoefu wako unaweza kufanya nini humo umepost kibabe huja ambatanisha picha nilikuwa nataka nikuombe kwa sister yangu alikuwa anahitaji mwajiri mpya kwa stational mpya kwaheri
 
Picha inahusiana nini na kazi jamani Ni MTU anayetakiwa kufanyakazi au ni picha. Ngoja nikujibu Nina uzoefu wa miaka 3 katika shughuli zinazohusiana na stationery( typing, lamination,scanning,photocoy na nyinginezo nyingi) kama utakuwa na swali lingine unakaribishwa.:oops::oops:
 
Mbona unatafuta kazi kibabe sana binti...!!
Hata kama kweli kuna mtu anania ya kukusaidia, unadhani kwa uandishi huo utaweza kumshawishi..??
Haya, haujajieleza vya kutosha kama upo wapi, unauzowefu wa muda gani kwenye hiyo kazi, unajua kutumia vifaa gani na kadhalika..
Na usidhani kama kuweka namba ya sim kwako itakuwa rahisi kupata unacho kihitaji/kitafuta, sana hiyo namba ulio iweka nina hakika 90% ya watakao kupigia watakua sio kwa nia na madhumuni uliyo yakusudia.
Pia, kwajinsi jf ilivyo badilika usijiaminishe kwamba hiyo namba itaaminika kama kweli wewe ulivyo kusudia kuiweka hapa jamvini.
Huwa unatema madini sana Mkuu congrats!!..
 
Tuliwashozea wana jf kwa sababu wengine Wamekalia kuwakosoa wenzao, wenyewe binafsi hawajiangakii wako vipi kila MTU atakayepost hapa yupo tu hata hawafikirii cha kumshauri MTU Ila wanaandika upuuzi
Binti, huo unao uita upuuzi ndio hasa ushauri ulio kuingia sawia.
Na hapo palipo kukera ndipo hasa unapaswa uparekebishe ili kweli uonekane muhitaji na kisha mambo yaende vizuri.
Bado nakushauri tena kwamba punguza kuomba kazi kibabe (kwamba mwenye kukuhitaji atakupigia sim...!!), na hii inaonyesha wazi jinsi ulivyo kwa upande wa pili ambao hatuja jaaliwa kuuona kwenye maandishi yako.
Hakuna mtu yeyote alie wahi kufanikiwa kwasababu eti ni mwingi wa kibri
 
Mkuu usiangahike nae tayari talanta yake nilisha mwambia kazi ni kwake.
 
Binti, huo unao uita upuuzi ndio hasa ushauri ulio kuingia sawia.
Na hapo palipo kukera ndipo hasa unapaswa uparekebishe ili kweli uonekane muhitaji na kisha mambo yaende vizuri.
Bado nakushauri tena kwamba punguza kuomba kazi kibabe (kwamba mwenye kukuhitaji atakupigia sim...!!), na hii inaonyesha wazi jinsi ulivyo kwa upande wa pili ambao hatuja jaaliwa kuuona kwenye maandishi yako.
Hakuna mtu yeyote alie wahi kufanikiwa kwasababu eti ni mwingi wa kibri
Nilikuwa nahitaji mtu wa stationary ila uandishi wake tu hapanaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom