Natafuta kazi kwenye sekta ya utalii Dodoma

ngaboru

JF-Expert Member
Mar 3, 2016
1,934
5,065
Habari wanajukwaa, kichwa cha habari hapo juu chahusika. Nina uzoefu wa kufanya reservation, sales, office administration pamoja na reception.
 
Miaka 5 ya uzoefu kazini kwenye hoteli za kitalii na tour companies.(serengeti,ngorongoro
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom