Natafuta kazi kwenye makampuni ya simu au IT companys.

mysara2011

Member
Sep 28, 2017
68
125
Kama kichwa cha habari kinavyosema wapendwa nina elimu ya shahada ya kwanza katika mambo ya Tehama . Na pia ni mwajiriwa katika sector binafsi inshort hapa nilipo sipapendi kabisa. Naomba mtu anisaidie plz kupata kazi kwenye makampuni ya simu kama Voda, Tigo, TTCL au hata Halotel au ofisi yoyote ntakaoweza kupractise nilichosomea hasa mambo ya IT maana hapa napofanya nafanya tofauti na niliyosomea.
 
Eng Kahigwa

JF-Expert Member
Feb 18, 2014
735
1,000

Kama ni kampuni ya voda, fuatilia website yao maana ndipo wanapoweka nafasi za kazi na ni wagumu kupokea cv na barua mkononi...na TTCL nadhani lazima nafasi zitangazwe kupitia Ajira portal maana ni shirika la kiserikali...
 
mysara2011

Member
Sep 28, 2017
68
125
Kama ni kampuni ya voda, fuatilia website yao maana ndipo wanapoweka nafasi za kazi na ni wagumu kupokea cv na barua mkononi...na TTCL nadhani lazima nafasi zitangazwe kupitia Ajira portal maana ni shirika la kiserikali...
Ok ahsante
 
Ntwa A. Katule

Verified Member
Jan 4, 2017
231
250
Fungua account ya linkedin kisha subscribe kazi kupata notification kwa kutumia keywords kama Information Systems, Database Administrator, Java developer, Reactjs Developer, ICT, etc. Kingine nachokushauri, tumia elimu yako ya TEHAMA kutatua changamoto cha hapo ofisini hata kama sio part ya job description yako. Kwa kufanya hivyo utajenga credibility na pia utakuwa una uzoefu wa kutosha kupata kazi mahali pengine
 
monopoly inc

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
2,578
2,000
Kama kichwa cha habari kinavyosema wapendwa nina elimu ya shahada ya kwanza katika mambo ya Tehama . Na pia ni mwajiriwa katika sector binafsi inshort hapa nilipo sipapendi kabisa. Naomba mtu anisaidie plz kupata kazi kwenye makampuni ya simu kama Voda, Tigo, TTCL au hata Halotel au ofisi yoyote ntakaoweza kupractise nilichosomea hasa mambo ya IT maana hapa napofanya nafanya tofauti na niliyosomea.
Upumbafff kabisa eti sipapendi kabisa njoo huku Nanjilinji ndo uanze kuongea ujinga huo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom