Natafuta kazi kwenye kampuni za kubet,stationary,duka lolote,hotel nk.

realnumber

Member
Dec 30, 2019
12
5
Habari,
Mimi ni kijana umri24 natafuta kazi yoyote
Hususani katika makampuni,viwanda,majumbani, madukani,mashambani
NB: sihitaji mshahara mkubwa
Nichek PM
Nina ujuzi computer application na ufundi umeme.
 
Back
Top Bottom