Natafuta kazi kwenye garage au yard

Sep 28, 2021
4
1
Ndugu kama kuna mtu ana garage au yard anipe mchongo.

Nishafanya kazi za garage na nin auzoefu nazo kwa ndani ya nchi na hata kwa nje ya nchi yaani nishakuaga katika kampuni za transit good s.

Naweza Fanya KAZI zote za garage.

Napatikana Dar.

Kiufupi kazi zinazohusiana na gari gari Mimi niko tayari
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom