ndugu wana jf, salam
nina ndugu dada angu, amesomea mambo ya madawa, hizi kozi za tfda na anauzoefu mzuri wa kuuza maduka ya madawa , kwa sasa anatafuta kazi, yupo dar na ni mchapa kazi
kwa mwenye nafasi tafadhali ani pm
as
anteni
Wadau, nawasilisha tena
Anaishi maeneo gani?
Hehehehe..... siyo mimi mukulu, ila mai waifu anamiliki kiaina.Wewe una duka la dawa toka lini
Hebu twende PM tulonge kidogo, kama uko serious.Saint, mshahara si maelewano mkuu? cha muhimu mtu apate kazi si unajua kutopoteza ujuzi! nawasilisha
mmmmmh kwisha hbari yakoHebu twende PM tulonge kidogo, kama uko serious.
Khaaa!:A S 100:mmmmmh kwisha hbari yako