Natafuta kazi, kuuza duka la madawa (pharmacy)

Madoido

Senior Member
Jan 24, 2011
134
15
ndugu wana jf, salam

nina ndugu dada angu, amesomea mambo ya madawa, hizi kozi za tfda na anauzoefu mzuri wa kuuza maduka ya madawa , kwa sasa anatafuta kazi, yupo dar na ni mchapa kazi


kwa mwenye nafasi tafadhali ani pm

as
anteni
 
ndugu wana jf, salam

nina ndugu dada angu, amesomea mambo ya madawa, hizi kozi za tfda na anauzoefu mzuri wa kuuza maduka ya madawa , kwa sasa anatafuta kazi, yupo dar na ni mchapa kazi


kwa mwenye nafasi tafadhali ani pm

as
anteni

Anaishi maeneo gani?
 
Wadau, nawasilisha tena

Anamwonekano mzuri? Isije kuwa ndo wale mteja kaja dukani kichwa kinamuuma akimwona muuzaji malaria inapanda kichwani.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Saint, mshahara si maelewano mkuu? cha muhimu mtu apate kazi si unajua kutopoteza ujuzi! nawasilisha
 
Wewe una duka la dawa toka lini
Hehehehe..... siyo mimi mukulu, ila mai waifu anamiliki kiaina.

afu sam ofu ze geloz wanamletea za kuleta. Nataka kumjoin awapige chini wote manina zao. Aaajiri kizazi kipya. MaLABUKU!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom