Natafuta kazi kufundisha Geography/Kiswahili

bila kumung'unya maneno. ndani ya miaka mitatu hutapata kazi serikalini lkn binafsi utapata kwa mshahara chini ya ule Wa serikali na utafundisha masomo yoye uliyosoma advance.

utafanya kazi tembo, mshahara sisimizi
 
Asante...muda mwingine kidogo cha halali ni bora zaidi
 
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza, mimi ni degree holder wa BACHELOR OF ARTS WITH EDUCATION niliyesoma chuo cha SAINT AUGUSTINE UNIVERSITY OF TANZANIA (SAUTI MWANZA)....nina ufaulu mzuri wa UPPER SECOND. nimemaliza chuo mwaka 2016
Ndugu wanajf wenzangu kutokana na usawa kubana, na kutokana na kutafuta ajira sehemu mbali mbali pasipo mafanikio nimejitokeza tena humu ndani kuomba msaada kama yupo mwanajf yeyote mwenye shule/anayejua shule/mwenye ndugu anaye miliiki shule anisaidie kuniunganisha ili niweze kupata kazi,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom