Natafuta Kazi Ktk Fani Ya Computer. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta Kazi Ktk Fani Ya Computer.

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Konzogwe, Apr 4, 2008.

 1. K

  Konzogwe JF-Expert Member

  #1
  Apr 4, 2008
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 441
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  I know JF has wide possibility to help me,so come on!
  Am a man(29) I've knowledge in computer application based MS-word,excell,access,internet,powerpoint and publisher. Whoever/wherever I search a job.
   
 2. Kinyau

  Kinyau JF-Expert Member

  #2
  Apr 9, 2008
  Joined: Nov 24, 2006
  Messages: 793
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 60
  konzogwe you have not said whether you have experience or not, afu wait a minute wewe pia si ulisema ni fundi cherehani unashona nguo mahiri za kina baba? now whats your preference kazi ya computer au ufundi au both?
   
 3. Maxence Melo

  Maxence Melo JF Founder Staff Member

  #3
  Apr 9, 2008
  Joined: Feb 10, 2006
  Messages: 2,606
  Likes Received: 1,703
  Trophy Points: 280
  He he he he... umemshtukia eh?

  LoL :)
   
 4. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #4
  Apr 9, 2008
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,313
  Likes Received: 5,605
  Trophy Points: 280
  kazi sana kozongwe...ujuzi wako ndio utakuweka kwenye game..maana hizo kozi yako ni ndogo sana kwenye market ya IT....hizo utafanikiwa zaidi kwenye internet cafee au stationary...au receptinist..with computer literacy..hapo ndio apply faster
   
 5. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #5
  Apr 9, 2008
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,313
  Likes Received: 5,605
  Trophy Points: 280
  Soma zaidi magazeti...ukiona receptinist apply...ushauri wangu tu maana wahitimu wenye dip an adv dip ni wengi sana hawapati lolote kwenye fani hiyo....
   
 6. Kinyau

  Kinyau JF-Expert Member

  #6
  Apr 9, 2008
  Joined: Nov 24, 2006
  Messages: 793
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 60

  Worm nakumbuka Ndugu huyu alisema yeye ni experienced tailor for 8 yrs na yuko mikumi national park, gonga hapa uone. Labda ameamua kujikita na mambo ya computer pia, Ni idea nzuri kwani kuwa multi skilled kunaongeza wigo wa kupata kazi. Namshauri ndugu Konzogwe aongeze kaujuzi kidogo (kama inawezekana) walau asome acess database na basics za networking, kwa kuwa hizo office programm hata watoto wangu wanazimaster vema. Otherwise awe tayari kufanya kazi ktk internet cafes au stationeries kama alivyosema mwanabodi mmoja.
  Usife moyo kaka, kaza buti nina hakika utafanikiwa, In case chance ikitokea tutajulishana humu humu ukumbini.
   
 7. S

  Siao Member

  #7
  Apr 9, 2008
  Joined: Jan 4, 2008
  Messages: 96
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  shughuli kwelikweli!
   
 8. Kana-Ka-Nsungu

  Kana-Ka-Nsungu JF-Expert Member

  #8
  Apr 9, 2008
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 2,260
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 135
  To be honest,kama umeshindwa kupata kazi huko mitaani- uwezekano wa kupata kazi kupitia JF ni mdogo sana. Hapa labda useme unatafuta mchumba....
   
 9. RR

  RR JF-Expert Member

  #9
  Apr 9, 2008
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,719
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  LOL....
  Hata hivyo muulize Idimi..
   
 10. Allah's Slave

  Allah's Slave JF-Expert Member

  #10
  Apr 9, 2008
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 564
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Jamani JF maintanance team hakuna nafasi huko mumuangalie huyu ndugu yetu. Kwa nini msimpe kazi ya ku upgrade databases zetu ili ku prevent attack? Mamods msaada huo mko wapi?
   
 11. K

  Konzogwe JF-Expert Member

  #11
  Apr 9, 2008
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 441
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Hizo zote fani zangu kwenu ninyi mnaostuka. After all nilisema nisaidieni kuinua kipato,so hiyo ni moja ya hatua kutafuta nitafutacho. If you have something on either way please jot. However I discouraged enough.
   
 12. Pundit

  Pundit JF-Expert Member

  #12
  Apr 9, 2008
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 3,741
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Waambie mwanangu, lazima tuwe multi talented vile vile, kesho keshokutwa unaanzisha mambo ya Computer Aided Design katika ufundi mitindo wanashangaa.

  Kama walivyosema wadau hapo juu, jaribu kusoma vitu vyenye kuhitajika.Kama ukijua mambo ya networking au systems zinazotumika na watu wa biashara ya internet kuanzia Internet Cafe au hata mambo ya Internet Service Provider.

  Unatakiwa kuwa m sharp kweli kujua vitu vinavyokwenda na wakati.Uweze kutumia internet vizuri, pia ukijua mambo ya hardware itasaidia sana.

  Angalia kama unaweza kupata kazi ya u "apprentice" ambapo unaweza kuchukua ujuzi zaidi na kuendelea, miaka mingi ya nyuma nilikuwa na rafiki zangu walikuwa wanafanya kazi kwa Muhaya mmoja pale jengo la IPS kutengeneza computer,alikuwa anawalalia sana mishahara,lakini walichukua ujuzi na baada ya mwaka akawa anaona mmoja mmoja anaondoka kwani watu wanaojua computer walikuwa wanatakiwa sana.

  Kuna Mzee wa kuitwa Shy mtu wa article na ma tutorial kichizi hebu mbofye kwanza hapa http://www.jamboforums.com/showthread.php?t=11765

  Kama unataka watu wa kukuongoza kuhusu maswala humu wamejaa waliobobea, usikonde wala nini, wazushi kibao pia ambao hawaamini kama mtu mmoja anaweza kucharaza cherehani na computer, wanaona kama maajabu ya Quantum Physics na paka wa Schrodinger vile.
   
 13. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #13
  Apr 10, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Unaweza Kufanya Kazi Na Mimi Kama Uko Interested Naomba Uweke Cv Yako Hadharani Na Namba Zako Za Simu Au Taarifa Zingine Za Mawasiliano

  Mimi Kampuni Yangu Bado Changa Tutaendelea Hivyo Hivyo Kufanya Kazi Mpaka Hapo Tutakapopata Mafanikio Zaidi
   
 14. Allah's Slave

  Allah's Slave JF-Expert Member

  #14
  Apr 10, 2008
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 564
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0

  Kwanini lazima aitundike CV yake na namba zake za simu hadharani ili apewe kazi? Au ulimaanisha kama yuko interested akutumie CV yake kwa Email mkuu?
   
 15. MwanaHaki

  MwanaHaki R I P

  #15
  Apr 11, 2008
  Joined: Oct 17, 2006
  Messages: 2,403
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 145
  Konzogwe,

  Sitaki kukukatisha tamaa... lakini kama ulivyosema, experience na qualification yako bado ni ndogo. Umri wako unakuruhusu, tafadhali ongeza elimu.

  Ushauri wangu ni kwamba, angalia matangazo ya nafasi za kazi za IT yanataka mtu mwenye qualifications gani, kisha tafuta vyuo kama UCC, ujiandikishe kwenye kozi hizo ili uweze kuongeza ujuzi. Hapo nina uhakika hutapata shida ya kutafuta kazi.

  Mafanikio mema.

  ./Mwana wa Haki
   
 16. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #16
  Apr 12, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Kama Ako Interested
   
Loading...