Natafuta kazi kiwandani

Ipo shida wenye viwanda wakiamua kuinstall robot viwandani shida ya ajira ndio itazidi kabisa tuchape kazi ndugu
 
Sio ubishi kaka sema ugumu mbona unavumilika tu huo maana hakuna kazi nyepesi ukizitafuta utasubiri sana.
Sasa inanoga ufanye kazi ngumulkn ulipwe vizurii hii iko poa
Lkn viwanda vingi unafanya kazi ngumu kwa malipo kiduchu
Lingine kila unavyofanya kazi kwa juhudi kubwa bdo bosi wako haliziki

Kwa mfano
Kuna kiwanda kimoja cha rastahuku mbagala wanalipa kwa siku ni sh 5500
Kwa siku unatakiwa utengeze Rasta 400 hii ndio tageti ya siku kwa malipo ya sh 5500 na mwisho wa muda wa kazi ni saa 11 jioni

Sasa basi kinachotokea ni hiki
Leo ukienda ukatengeneza Rasta 400 unaondoka
Kesho ukienda unaambiwaß utengeneze Rasta 450sss
Kesho kutwa ukienda unaambiwa utengeneze Rasta 500
Kwahiyo kila siku wanakuongesea Rasta 50 na hata km muda wa kuondoka umefika na wewe hujatimiza idadi ya Rasta uliyopangiw a basi huondoki mpka utimize na ukishindwa basi ujue utachambwa hapo weee mpka basi

Sasa vurugu zooote hizo unafanya kazi kupita kiasi, unachelewaa na kuchambwa km kotee lakini Bado hela ileile 5500 tu hawakuongezei hatamia
 
Habari yako,

Nakuja hapa kuomba msaada kwa yeyote yule mwenye kujua ni kiwanda kipi ndani ya Dar kinachopokea kibarua naomba anifahamishe maana natafuta kazi kwenye kiwanda chochote kile kinachopokea kibarua.

Asante sana.
Nenda pale shekilango jirani naUrafiki,,Kuna viwanda viwili vya biscuits,,kuingia ni saa 12 asubuhi kutoka ni kuanzia saa nane hadi saa kumi,,malipo ni 5000-6000 per day.Pia nenda siku ya ijumaa utawakuta wachina wa bidhaa za SUNDAR, ijumaan ni siku yao ya kuajiri vibarua,Hawa kidogo wanalipa vizuri, Ofisi yao na store zao zipo jengo linalofuata kueleke mbele ukitokea getini,,Mimi naamini wewe ni mwanaume mpambanaji,,kutoka external hadi pale ni jirani tembea kwa mguu tu,,utaanza kwa kuweka akiba 2500 kwa siku mpaka kieleweke,,ukifika kwenye kiwanda Cha biscuit muulizie jamaa mmoja anaitwa SHIT,,Atakupa ABC za mule ndani..wote tumepita huko kwenye hizo kazi Hadi tukapata mitaji ....TSH5000 sio ndogo ukiwa na lengo .. PAMBANA MDOGO WANGU,,WAHINDI WANA DHARAU SANA LAKINI USIPOTEZE LENGO LAKO.
 
Asante nitaenda kujaribu, vp ujui jina la hicho kiwanda cha biskuti.
 
Heri ya mwaka mpya ndugu zangu kuna nafasi za kazi za kibarua Cocacola Tsh 6,000 kwa siku kama una kijana aje Maramoja Cocacola Mikocheni
CV.
1.Awe anajua kusoma na kuandika.
2.Nguvu ya kufanyakazi ngumu.
3.Awe mstarabu.
4.Vingine tutafundishana kazini.

Mpigie simu Ally 0713799310 yupo ofisini anapokea majina mtume kijana apige simu mara moja ajisajili. KAZI INAANZA KESHO TAREHE 04.01.2021 saa 12.30 asubuhi
Asante
 
Sasa inanoga ufanye kazi ngumulkn ulipwe vizurii hii iko poa
Lkn viwanda vingi unafanya kazi ngumu kwa malipo kiduchu
Lingine kila unavyofanya kazi kwa juhudi kubwa bdo bosi wako haliziki

Kwa mfano
Kuna kiwanda kimoja cha rastahuku mbagala wanalipa kwa siku ni sh 5500
Kwa siku unatakiwa utengeze Rasta 400 hii ndio tageti ya siku kwa malipo ya sh 5500 na mwisho wa muda wa kazi ni saa 11 jioni

Sasa basi kinachotokea ni hiki
Leo ukienda ukatengeneza Rasta 400 unaondoka
Kesho ukienda unaambiwaß utengeneze Rasta 450sss
Kesho kutwa ukienda unaambiwa utengeneze Rasta 500
Kwahiyo kila siku wanakuongesea Rasta 50 na hata km muda wa kuondoka umefika na wewe hujatimiza idadi ya Rasta uliyopangiw a basi huondoki mpka utimize na ukishindwa basi ujue utachambwa hapo weee mpka basi

Sasa vurugu zooote hizo unafanya kazi kupita kiasi, unachelewaa na kuchambwa km kotee lakini Bado hela ileile 5500 tu hawakuongezei hatamia

hv zle rasta ambazo mtaan zinauzwa buku, hapo mbagala wanauzaje bei ya jumla?
 
Nenda pale shekilango jirani naUrafiki,,Kuna viwanda viwili vya biscuits,,kuingia ni saa 12 asubuhi kutoka ni kuanzia saa nane hadi saa kumi,,malipo ni 5000-6000 per day.Pia nenda siku ya ijumaa utawakuta wachina wa bidhaa za SUNDAR, ijumaan ni siku yao ya kuajiri vibarua,Hawa kidogo wanalipa vizuri, Ofisi yao na store zao zipo jengo linalofuata kueleke mbele ukitokea getini,,Mimi naamini wewe ni mwanaume mpambanaji,,kutoka external hadi pale ni jirani tembea kwa mguu tu,,utaanza kwa kuweka akiba 2500 kwa siku mpaka kieleweke,,ukifika kwenye kiwanda Cha biscuit muulizie jamaa mmoja anaitwa SHIT,,Atakupa ABC za mule ndani..wote tumepita huko kwenye hizo kazi Hadi tukapata mitaji ....TSH5000 sio ndogo ukiwa na lengo .. PAMBANA MDOGO WANGU,,WAHINDI WANA DHARAU SANA LAKINI USIPOTEZE LENGO LAKO.
Mkuu hii ni pale Bussiness Millenium au ni kule kama unaelekea urafiki polisi?
 
"Ubungo business Park" kwenye njia panda ya kwenda Sinza IPO mkono wako wa Kulia mwa MorogoroRoad unapokuwa unaelekea Manzese

Poa mkuu nimekupata vyema
 
Heri ya mwaka mpya ndugu zangu kuna nafasi za kazi za kibarua Cocacola Tsh 6,000 kwa siku kama una kijana aje Maramoja Cocacola Mikocheni
CV.
1.Awe anajua kusoma na kuandika.
2.Nguvu ya kufanyakazi ngumu.
3.Awe mstarabu.
4.Vingine tutafundishana kazini.

Mpigie simu Ally 0713799310 yupo ofisini anapokea majina mtume kijana apige simu mara moja ajisajili. KAZI INAANZA KESHO TAREHE 04.01.2021 saa 12.30 asubuhi
Asante
"Nguvu ya kufanya kazi ngumu"
halafu mshahara elf 6, duh! TUTAFIKA KWELI?
 
Heri ya mwaka mpya ndugu zangu kuna nafasi za kazi za kibarua Cocacola Tsh 6,000 kwa siku kama una kijana aje Maramoja Cocacola Mikocheni
CV.
1.Awe anajua kusoma na kuandika.
2.Nguvu ya kufanyakazi ngumu.
3.Awe mstarabu.
4.Vingine tutafundishana kazini.

Mpigie simu Ally 0713799310 yupo ofisini anapokea majina mtume kijana apige simu mara moja ajisajili. KAZI INAANZA KESHO TAREHE 04.01.2021 saa 12.30 asubuhi
Asante

Mkuu nahitaj hi nafasi ila kigezo namb mbl kitaniua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom