Natafuta kazi katika Mashirika, Asasi na Taasisi za kijamii zilizopo ndani au nje ya nchi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta kazi katika Mashirika, Asasi na Taasisi za kijamii zilizopo ndani au nje ya nchi.

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Samsajen, Aug 7, 2011.

 1. S

  Samsajen New Member

  #1
  Aug 7, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni mtanzania ninayeishi hapa Dar es salaam, napenda kuchukua nafasi hii kuweza kutafuta kazi katika mashirika ya kijamii, asasi za kiraia na taasisi za kijamii ambazo hujihusisha na maendelea ya jamii, sifa zangu ni mwanafunzi wa mwaka wa pili katika chuo cha ustawi wa jamii ambaye nachukua shahada au digrii ustawi wa jamii (social work), nina uwezo wa kufanya kazi vizuri katika hali yeyote ile, nina akili timamu na mwenye uwezo wa kuongea na kuandika kwa kutumia lugha mbili (Swahili and English), mwisho naomba ndugu zangu muweze kunisaidia kama niaminivyo sote ni wama jamii na tunahitaji iweze kushamiri. Asante.
   
Loading...