Natafuta kazi kama web developer au tenda (projects) za kutengeneza websites na web applications

Genius.davis

Member
Dec 11, 2015
6
3
Habari wana jamiiforum, natafuat kazi kama web developer au tenda( projects) za kutengeneza websites na web applications kwa wenye biashara,agency,company,NGOs au personal website(bloggers).

sifa zangu ni:
1.Nina Bachelor degree in Computer science toka university of Dodoma.
2.Nina skills za html5,css3,javascript,php,python,mySQL,mongoDB,twitter Bootstrap framework.
3.uzoefu katika computer appications.

Projects nilizozifanya:
fungua hapa uone kazi moja niliyoifanya - Bongo Export

fungua hapa uone kazi yangu ambayo ipo katika hatua za mwisho - i5startech

MAWASILIANO YANGU NI:
vodacom - 0762260621
tigo - 0672629289
emial - davisdavid179@gmail.com
makazi - Dar es salaam

Asanteni.
 
Mkuu, nimechek hiyo BongoExport kwenye Location ya kampuni...
Hivi Temeke kuna mahali panaitwa Mbezi Beach????
 
Temeke umeiona wapi ? Location ya kampuni ni Mbezi Beach
Ukiambiwa usibishe mkuu... Verify kwanza
7ac26eb4e617dfdeb3bddedc942aeade.jpg
 
Back
Top Bottom