moshi norbert
Member
- Nov 12, 2019
- 13
- 9
Kwa yoyote ambaye angependa kuinvest au kuamua kufanya bishara nje na kazi anayofanya, biashara ya chakula iko poa. Mimi nipo tayari tufanye kazi pamoja.
ukipenda nijibu hapa au PMToa wali
Toa Pilau
Toa makande
Toa ugali
Toa ndizi
Toa Tambi
Naomba kujua vyakula vingine unavyoweza kuvipika kwa ubora kabisa mpaka ,
Mteja akaomba "kumjua mpishi".
nipo dar es salam BunjuUpo mkoa gani?
burgerToa wali
Toa Pilau
Toa makande
Toa ugali
Toa ndizi
Toa Tambi
Naomba kujua vyakula vingine unavyoweza kuvipika kwa ubora kabisa mpaka ,
Mteja akaomba "kumjua mpishi".
burgerToa wali
Toa Pilau
Toa makande
Toa ugali
Toa ndizi
Toa Tambi
Naomba kujua vyakula vingine unavyoweza kuvipika kwa ubora kabisa mpaka ,
Mteja akaomba "kumjua mpishi".
nimeku PMburger
piza
best chips
smart cake
mtori
macharari
supu ya mbogamboga
supu ya cabich
wali wa mayai
supu ya pweza na rost yake
Ungekuwa unajua kuandaa Veal picccata, conccase soup n.k, ningekuchekia job kwenye camp moja ya Watalii huku Kaskazini.Kwa yoyote ambaye angependa kuinvest au kuamua kufanya bishara nje na kazi anayofanya, biashara ya chakula iko poa. Mimi nipo tayari tufanye kazi pamoja.
Kwa kuanza hii biashara inahitaji mtaji kiasi gani?nipo dar es salam Bunju