Natafuta kazi inayohusisha upishi

Toa wali
Toa Pilau
Toa makande
Toa ugali
Toa ndizi
Toa Tambi

Naomba kujua vyakula vingine unavyoweza kuvipika kwa ubora kabisa mpaka ,

Mteja akaomba "kumjua mpishi".
 
Toa wali
Toa Pilau
Toa makande
Toa ugali
Toa ndizi
Toa Tambi

Naomba kujua vyakula vingine unavyoweza kuvipika kwa ubora kabisa mpaka ,

Mteja akaomba "kumjua mpishi".
burger
piza
best chips
smart cake
mtori
macharari
supu ya mbogamboga
supu ya cabich
wali wa mayai
supu ya pweza na rost yake
 
Toa wali
Toa Pilau
Toa makande
Toa ugali
Toa ndizi
Toa Tambi

Naomba kujua vyakula vingine unavyoweza kuvipika kwa ubora kabisa mpaka ,

Mteja akaomba "kumjua mpishi".
burger
piza
best chips
smart cake
mtori
macharari
supu ya mbogamboga
supu ya cabich
wali wa mayai
supu ya pweza na rost yake
 
Kila kitu ni passion ila hii mishe looh.. kupika ni mzigo mzito kwangu nisiouweza
 
unajua katika maisha kabla ujafanya jambo lazima utazame kua jamii inaitaji nn sasa katika mihangaiko yote anayofanya binadam katika maisha yake cha kwanza anahangaikia kula then mambo mengine yanafwata
 
Kwa yoyote ambaye angependa kuinvest au kuamua kufanya bishara nje na kazi anayofanya, biashara ya chakula iko poa. Mimi nipo tayari tufanye kazi pamoja.
Ungekuwa unajua kuandaa Veal picccata, conccase soup n.k, ningekuchekia job kwenye camp moja ya Watalii huku Kaskazini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom