Natafuta kazi ili niwe mjasiliamali

jonathan jonas

New Member
Nov 18, 2010
4
1
Hope u all doing better. Najua wote mnafaham kuwa hakuna mtu ambae hapendi kujiajiri lakini how can somebody do so without CAPITAL? Najua mtasema "IDEA YAKO NDO KILA KITU" but how can those ideas become real without some cash? uzoefu unaonesha kuwa wengi WANAACHA KAZI NA KUJIAJIRI after earning some cash. MIMI PIA NATAKA NIFANYE IVO.
AREAS OF COMPETENCE
Ø Community development and facilitation
Ø Human Resource Management
Ø Monitoring and Evaluation
Ø Capacity building and Training
Ø Project planning and Management
Ø Research works
Ø Counseling and Guidance
Ø Gender analysis
jjmoyo29@yahoo.com
 
kwa skills hizo huwezi kupata pesa hizo kazi ni za wito kama vile kuwa padre kwa hiyo kuwa mvumilivu endekea na utumishi ilio tukuka wa umma
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom