Natafuta kazi, hususani ya kuuza Supermarket! Elimu yangu ni kidato cha sita

diva Thomas

New Member
Feb 7, 2019
4
45
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 27 elimu yangu ni kidato cha sita nilikua natafuta kazi yeyote but ingekua ya kuuza supermarket au stationary ingekua afadhali kidogo

Sina uzoefu wowote na pia nafahamu lugha ya kingereza kwa ufasaha nipo Arusha asanteni no yangu ya simu 0763637763
 

Mbwa dume

JF-Expert Member
Jan 15, 2014
3,315
2,000
Hebu weka picha tatu za full tuone CV kama inaruhusu naweza kukuajiri hapa Dom nna mpango wa kufungua supermarket mwaka 2021 kama mshua akishinda ubunge.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom