Natafuta kazi hotels au nyumbani

Chibudee

JF-Expert Member
Dec 28, 2016
1,775
2,400
Salaam wakuu

Nikijana( wakiume) mwenye umri 20 yrs napatikana dar es salaam
Ingawa kwasasa nipo moshi

Natafuta au kuomba kazi hotel au nyumbani camp lodges
Nauwezo wa kupika vyakula kama

Wali pilau mkate keki pizza kifungua kinywa cha kuku

Navingine vingi
Ninauzoefu wakufanya kazi hio takriban mwaka mmoja katika camp
Yahifadhi ya taifa tarangire

Nb sijasomea nasina cheti chochote lakini ninauwez wakutengeneza chakula chaina yoyote

Natanguliza shukraan dhazati
 
Back
Top Bottom