Natafuta kazi hata kama ni temporary

netti mimi

Senior Member
Oct 10, 2016
147
109
Mimi naitwa Aneth ninakaribia kuhitimu katika chuo fulani hapa Tanzania panapo majaliwa mwezi wa tano mwishoni. Nakuja kwenu kuomba au kutafuta temporary yoyote itakayoniingizia kipato mimi, nimesomea degree ya ualimu wa arts.

Natumaini ombi langu litapokelewa.

Asanteni
 
Sasa unaficha chuo ili iweje?? Unahitumu mwezi wa tano level gani ya elimu
 
Back
Top Bottom