Ile pesa tuma kwenye namba hii.Kama una passport njo Pm nikusaidie kuna kazi za baby seaters Dubai kwa wanawake tu. Salary hadi 800k tshillings
Nicheki Inbox.Habari me ni kijana mwenye umri was miaka 24..nina certificate of business administration... Seriously I look for job hata MTU ambae anandugu take nji za nje aniunganishe hata nikawe housekeeper or any legal job nipo tayari...asanteni naamin nitapata msaa
View attachment 1862687
View attachment 1862688
Mtoa mada amezingua hapo tu pa kutaka kwenda kufanya kazi nje ya nchi kana kwamba ana vigezo vya kipekee!Una akili finyu sana una taka kwenda Nchi gani nikusaidie
Eti kujitutumuaMtoa mada amezingua hapo tu pa kutaka kwenda kufanya kazi nje ya nchi kana kwamba ana vigezo vya kipekee!
Yeye alitakiwa awe muwazi tu kwamba yuko tayari kufanya kazi sehemu yoyote ile! Ndani au nje ya nchi, katika mazingira yoyote yale mfano mjini au pembezoni mwa mji, nk. Badala ya kujitutumua huku akiwa ana uhitaji wa kazi.
Mi nataka kwenda IndiaUna akili finyu sana una taka kwenda Nchi gani nikusaidie
Huko siweziMi nataka kwenda India
Wapi unaweza boss?Huko siwezi
Somalia,Congo 😀😀😀Wapi unaweza boss?