Natafuta kazi hapa mjini Dsm. Elimu yangu 4m 4. Aliye interested with me call 0718651174 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta kazi hapa mjini Dsm. Elimu yangu 4m 4. Aliye interested with me call 0718651174

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Tugutuke, May 11, 2012.

 1. Tugutuke

  Tugutuke JF-Expert Member

  #1
  May 11, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 495
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Naishi Mbezi kwa Msuguri,kwa kuwa soko la ajira ni gumu hapa Tz. Basi mwenye kibarua cha maana aniwezeshe i.e, kuuza duka,butcher,saloon,kazi za viwandani,na makumpuni binafsi au ya umma.
  Tafadhali niko serious. Nimechoka kukaa kwa mtaa au Idle at home.
   
 2. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #2
  May 11, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Ilinzi vipi?
   
 3. Tugutuke

  Tugutuke JF-Expert Member

  #3
  May 11, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 495
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  sichagui kazi,cha msingi tusinyongane. Kama vipi we funguka tu!
   
 4. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #4
  May 11, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Ol the bst.
   
 5. c

  chitanda.nyoka Senior Member

  #5
  May 11, 2012
  Joined: May 3, 2012
  Messages: 195
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hyo form 4 ungeomba jkt ingekusaidia sababu polisi,jwtz,magereza na askari bandari wote wanachukua kutoka jkt hawachukui form 4 wamtaani wanachukuliwa walokua jkt km mtaani wanaweza kuchukua mfano km 3 kutoka jkt 15,kwahyo kuna advantage
   
 6. Naibili

  Naibili JF-Expert Member

  #6
  May 18, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 1,680
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  wapo mission wametangaza ajira kwa level ya elimu uliyonayo, kama vp nenda pale wapo radio au sikiliza vipindi vyao au uliza wenzako wakutonye
   
 7. u

  ulanzi mtamu Senior Member

  #7
  May 19, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nenda pale sinza mori kuna kampuni inaitwa gnld, hawana shida mdogo angu.
   
 8. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #8
  May 19, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Form 4,,,,,,,
  Mimi Chuo Kikuu nimeacha madegree kabatini, niko porin Selous kupasua mbao!!!!!!!
   
 9. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #9
  May 19, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,322
  Likes Received: 19,494
  Trophy Points: 280
  kijana kwa nn hutaki kusoma? Jibu hili swali kwanza.
   
 10. Raiamwematz

  Raiamwematz Senior Member

  #10
  May 19, 2012
  Joined: May 9, 2012
  Messages: 104
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Hebu sema katika elimu yako ya f4 unaufaulu wa kiasi gani? hebu weka wazi, umri wako pia hapa.
   
 11. Tugutuke

  Tugutuke JF-Expert Member

  #11
  May 19, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 495
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  sina hela za kunisomesha,na sina mtu wa kunisomesha! So sio kwamba sitaki shule.
   
 12. Tugutuke

  Tugutuke JF-Expert Member

  #12
  May 19, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 495
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  nimezaliwa tarehe 14.09.1989. Nimemaliza 4m 4 mwaka jana,nikipata pass 4 [D 4] za Eng,Kisw,Hist,na Civics.
   
 13. Tugutuke

  Tugutuke JF-Expert Member

  #13
  May 19, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 495
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  hebu nifafanulie kdgo mkuu,kwa kazi ipi wametangaza.
   
 14. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #14
  May 19, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  wewe rudi kijijini kalime bustani ya mboga mboga ..mjini huwezi kupata kazi kwa elimu hiyo ya form 4
   
 15. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #15
  May 19, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  mwambie huyu...anataka kuchekesha watu walionuna hapa...
   
 16. Tugutuke

  Tugutuke JF-Expert Member

  #16
  May 19, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 495
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  naishi na watu ambao ni 4m 4 kibao wana kazi zao na zinawalipa si hapa. Mapolisi ndo usiseme! Hata drs la 7 wapo nao. So cdhani kama kauli yako iko sahihi kivile.
   
 17. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #17
  May 19, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Kwanini usingie kwenye siasa manake wanatoka kishenzi.
   
 18. Tugutuke

  Tugutuke JF-Expert Member

  #18
  May 19, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 495
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  duh! Ofcoz ila pa kuanzia ndo issue! [jamani,let us be serious]
   
Loading...