Natafuta kazi halali, hata kama ipo nafasi ya kujitolea nipo tayari

Paul_123

Member
Aug 10, 2021
49
56
Natafuta kazi yoyote ile halali, bila kuchagua kiasi Cha mshahara ila kiwe kinamudu mahitaji ya Mtanzania wa chini. Elimu yangu Chuo kikuu (hii level ya elimu ni kama CV tu, but mshahara wowote ule).

Napatikana mkoa wa Mbeya lakini naweza fanya kazi mkoa wowote mahali popote.

ASANTENI🙏NA KARIBUNI🙏
 
😂😂😂Nimegundua TZ kupata kazi ni kazi hata kuliko kusoma mwenyewe🙌🙌🙌
 
Back
Top Bottom