Natafuta kazi Fani yangu ni Photographer, Videographer & Edior

Sherrif Rango

Member
Feb 24, 2019
12
3
Habari wadau. Natafuta kazi fani yangu ni Camera Man. Naweza kufanya photography, Shooting na editing pia. Nina uzoefu wa miaka2.

Kwa yoyote atakaye sikia mtu anahitaji mtu mwenye fani kama yangu tafadhali naomba unijulishe..

Pia naendelea kujifunza mambo mbali mbali hivyo hata kama kuna mtu mwenye ofisi angependa kunitumia wakati nikijifunza zaidi nakubali.

Asante..
 
Editing una uzoefu na software gani za video
 
Habari wadau. Natafuta kazi fani yangu ni Camera Man. Naweza kufanya photography, Shooting na editing pia. Nina uzoefu wa miaka2.

Kwa yoyote atakaye sikia mtu anahitaji mtu mwenye fani kama yangu tafadhali naomba unijulishe..

Pia naendelea kujifunza mambo mbali mbali hivyo hata kama kuna mtu mwenye ofisi angependa kunitumia wakati nikijifunza zaidi nakubali.

Asante..
Una profile mtandaoni ambayo tunaweza kuona baadhi ya kazi ambazo umewahi kuzifanya?
 
Sina kwa sasa coz ndio nimeanza kutengeneza. But if it u need films refence

Search youtube mchumba part 1 &

Siku tata part 1

Zuzu

Hizo ni films ambazo nimeshafanya production
 
Hizo zote zina part1 and 2. Pia kuna comedy nyingi nimeshafanya..
 
Habari wadau. Natafuta kazi fani yangu ni Camera Man. Naweza kufanya photography, Shooting na editing pia. Nina uzoefu wa miaka2.

Kwa yoyote atakaye sikia mtu anahitaji mtu mwenye fani kama yangu tafadhali naomba unijulishe..

Pia naendelea kujifunza mambo mbali mbali hivyo hata kama kuna mtu mwenye ofisi angependa kunitumia wakati nikijifunza zaidi nakubali.

Asante..
Nenda kwenye ukurasa wa startimes facebook kuna nafas wametangaza zinaweza kukufaa
 
Habari wadau. Natafuta kazi fani yangu ni Camera Man. Naweza kufanya photography, Shooting na editing pia. Nina uzoefu wa miaka2.

Kwa yoyote atakaye sikia mtu anahitaji mtu mwenye fani kama yangu tafadhali naomba unijulishe..

Pia naendelea kujifunza mambo mbali mbali hivyo hata kama kuna mtu mwenye ofisi angependa kunitumia wakati nikijifunza zaidi nakubali.

Asante..
Mkuu fanya kujiunga na group letu la ajira la wasap Kuna kazi niliona inahusiana na hayo mambo nakuwekea link hapa.
 
Back
Top Bottom