Natafuta kazi, elimu yangu ni kidato cha nne

Nuoxian

Senior Member
Mar 15, 2020
169
237
Msaada ndugu zangu mwenye kujua wapi naweza kupata Connection ya kazi.

Mimi ni kijana miaka 25
Napatikana Mbeya
Elimu yangu kidato Cha 4

Nimepitia mafunzo ya jeshi la kujenga taifa (JKT) ila sikubahatika kupata ajira, pia nimepitia mafunzo ya Kuzima Moto na uokoaji (Fire and Rescue). Sichagui kazi naweza kufanya kazi yoyote ile ila iwe halali tu.

Msaada ndugu zangu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom