Natafuta kazi Electrical Technician

Mnyakilambo7

Member
Oct 15, 2014
63
27
Habarini wakuu.
Kama kichwa cha thread kinavojieleza hapo juu. Mimi ni mwanaume. Umri wangu ni Miaka 23, Elimu yangu ni Diploma in Electrical Engineering. Kwa sasa nipo Dar Es Salaam, ila nipo tayari kufanya kazi popote nchini. Natafuta kazi tajwa hapo juu.
Msaada wenu wakuu, maana najua JF huwaga hakiharibiki kitu.
Natanguliza shukrani zangu.
 
Kama una ndugu Dodoma na unaweza kujigharamia makazi na transport baada ya kupata kazi, nikumie email yako kwenye pm yangu ili nimutumie job advert ya kampuni yetu. Nakwambia hivyo kwasababu nafasi zipo lakini kipaumbele ni kwa mtu nayetoka Dodoma.
 
Asante mkuu, nimekupm tayari.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom