Natafuta kazi {driver}

Matendo Andrew

JF-Expert Member
Apr 1, 2014
748
366
NAOMBA MSAADA WENU WAKUU
wakuu kwanamna yeyote ile naamini humu kuna watu wana connection
na sehemu ambazo naweza kupata kazi ya taaluma yangu, najua shida inakua kwenye
uaminifu yaani mtu anaogopa kukuunganisha kwasababu hakujui nivile ameona tuu post hapa
lakini naomba kwangu isiwe hivyo amua kunisaidia kama una kazi au una connection pale ninapoweza kupata hiyo kazi, lakini kabla hujaniunganisha unaweza kunihoji ili kujilidhisha na kuamua kujua ninapo ishi, kuwajua wadhamini wangu n.k kabla hujaniunganisha na mhusika. najua CV haitoshi lakin angalau inaweza kunipa nafasi ya kupiga hatua ya kuaminiwa..
+255 714 045 080. matendoandrew@gmail.com nipo dar es salaam.
 
Attachments

  • licence back side.jpg
    licence back side.jpg
    40.9 KB · Views: 48
  • Matendo driving CV. 1.png
    Matendo driving CV. 1.png
    49.8 KB · Views: 51
Jaribu hizi kampuni,NETIS,inahusika na minara ya simu,IPO mwanza,NEWL inahusika pia na minara IPO Arusha Sakina
 
NAOMBA MSAADA WENU WAKUU
wakuu kwanamna yeyote ile naamini humu kuna watu wana connection
na sehemu ambazo naweza kupata kazi ya taaluma yangu, najua shida inakua kwenye
uaminifu yaani mtu anaogopa kukuunganisha kwasababu hakujui nivile ameona tuu post hapa
lakini naomba kwangu isiwe hivyo amua kunisaidia kama una kazi au una connection pale ninapoweza kupata hiyo kazi, lakini kabla hujaniunganisha unaweza kunihoji ili kujilidhisha na kuamua kujua ninapo ishi, kuwajua wadhamini wangu n.k kabla hujaniunganisha na mhusika. najua CV haitoshi lakin angalau inaweza kunipa nafasi ya kupiga hatua ya kuaminiwa..
+255 714 045 080. matendoandrew@gmail.com nipo dar es salaam.
Vp ulipata..
 
Fact.
But awe na vyeti.
Kwa madaraja hayo nategemea kumuona ana vyeti viwili vya VETA na viwili vya NIT. Sasa kama hana sijui io leseni kapataje
Mkuu, kwani haujasoma CV ya mleta mada....?
Ebu muache kua mna comment pasipo kusoma thread aiseeee
 
Back
Top Bottom