Natafuta kazi DBA (Oracle, SQL Server)

smati

Senior Member
Dec 24, 2010
149
5
POST AM LOOKING FOR: DATABASE ADMINISTRATOR
Platforms: ORACLE/ SQL SERVER
LEVEL: INTERMEDIATE
Nina degree ya Computer Science na nina experience ya mwaka mmoja ktk hii fani. Pia ninauzoefu na PL/SQL
Nikijana mchapa kazi, mbunifu na mwenye nidhamu.
Asanteni wakuu.
 
Peleka hii jukwaa la Ajira/Kazi mkuu kule kuna watu wengi zaidi....
 
una ujuzi una uzoefu...tafuta sehemu volunteer pata ujuzi wa nini kipo sokoni halafu jiajiri mwenyewe uajiri na watz wenzako!
 
una ujuzi una uzoefu...tafuta sehemu volunteer pata ujuzi wa nini kipo sokoni halafu jiajiri mwenyewe uajiri na watz wenzako!
Wazo lako nalikubali, ofcourse ninaujuzi wa kutosha na uzoefu wa kuniwezesha kufanya kazi hata bila kusimamiwa. Kujiajiri si kitu ninacho kifikilia kwa sasa japo wazo lako ni zuri sana.
 
Peleka hii jukwaa la Ajira/Kazi mkuu kule kuna watu wengi zaidi....
nimelipeleka ila naamini hapa naweza kupata connection ya kueleweka maana wanapatikana wengi ni wqataalam wa ICT.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom