Natafuta kazi DBA (Oracle, SQL Server)

smati

Senior Member
Dec 24, 2010
149
5
POST AM LOOKING FOR: DATABASE ADMINISTRATOR
Platforms: ORACLE/ SQL SERVER
LEVEL: INTERMEDIATE
Nina degree ya Computer Science na nina experience ya mwaka mmoja ktk hii fani. Pia ninauzoefu na PL/SQL
Nikijana mchapa kazi, mbunifu na mwenye nidhamu.
Asanteni wakuu.
 
Hili eneo ni nyeti sana, usiwe na shaka utapata. Ngoja nikuchekie chekie kwa machizi hapa.
 
Sidhani kama anamaanisha hilo mkuu. Naamini anaaminsha watu anao wajua. We upo fani gani mkuu?
<br />
<br />
me ni ngwini mkuu,sciance nliikimbiaga tangu niko chekechea.
 
<br />
<br />
me ni ngwini mkuu,sciance nliikimbiaga tangu niko chekechea.
Mr Senetor, japo sijui maana ya ugwini lakini bado hatuwezi kujenga msingi ktk hilo. Kila domain in umuhimu wake. Unaonekana ni mtu smart sana. Ebu tusaidiane tupate kazi, tujenge taifa.
 
Mkuu utapata kazi, tena kama ni OCA au OCP utapata kazi yenye mshahara mzuri sana. Usichoke kufanya applications mkuu. Kila la kheri
 
POST AM LOOKING FOR: DATABASE ADMINISTRATOR
Platforms: ORACLE/ SQL SERVER
LEVEL: INTERMEDIATE
Nina degree ya Computer Science na nina experience ya mwaka mmoja ktk hii fani. Pia ninauzoefu na PL/SQL
Nikijana mchapa kazi, mbunifu na mwenye nidhamu.
Asanteni wakuu.
Hongera kwa kuchagua kuwa DBA.Naomba nikushauri ndugu.Kampuni nyingi hasa za kitanzania ni kweli wanahitaji watu wa kariba yako hasa kwenye angle ya Oracle.

Kazi zipo nyingi peleka cv kila mahala unapoona kuna uwezekano wewe kufanya kazi mata nyingi IT officers wanapenda kuminya hasa wakikuona una vyeti vikali zaidi yao_Omba ku volunteer ukishaingia ndani onyesha kwamba wewe ni mkali.Utagombaniwa na kampuni nyingi.

Mdau mmoja kakupa ushauri wa kufanya OCA au OCP.Ukiweza hiyo utakuwa anga nyingine.

Best of luck
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom