Natafuta kazi bank za Mwanza

smileof faith

Member
Mar 9, 2017
9
2
hello good people.

natafuta kazi bank za mwanza.

mwenye taarifa ya bank wanayotafuta credit officer au relationship manager niambie tafadhali
 
Nimeona nafasi za kazi nadhani ni katika kijiwe kuna bank moja inahitaji wafanyakazi kibao na mwanza ikiwemo, ingia tovuti ya kijiwe cha wasomi nadhani utaziona
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom