Natafuta kazi au kibarua chochote kile, nina Diploma ya Kilimo

size 96

Senior Member
Aug 31, 2019
135
143
Mimi ni kijana mwanye kiu ya kujikwamua kiuchumi natafuta kazi elimu yangu ni Diploma ya kilimo kwa ujumla yani General Agricultural nimeshaweka thread umu JmiiForums.

Naombeni msaada kazi yoyote halali ata nnje ya taaluma yangu nipo tayari kuifanya kwa weledi wa hali ya juu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom