charlesfundi
Senior Member
- Jun 5, 2017
- 197
- 242
Habari wana jamvi nimatumaini yangu nyote mu wazima.
Mimi nikijana umri miaka 25 natafuta kazi au kibarua cha muda katika kada ya umeme au nje ya umeme naweza kufanya kazi sehemu yoyote lakini kwa sasa niko Dar es salaam.
Nina ordinary diploma katika umeme (OD in electrical engineering ), tafadhali ndugu zangu kama kuna wahandisi, au watu kwenye projects binafsi na wanataka usaidizi au wanawiwa kunisaidia nitafurahi, natanguliza shukurani..