Natafuta kazi Arusha

princessita

Member
Aug 19, 2013
21
6
Habari wana jf mimi ni binti mwenye umri wa miaka 27 natafuta kazi arusha nina degree ya socialwork kutoka chuo kikuu cha dar es salaam kwa yoyote atakaeskia plss anijuze asanteni.
 
social work utapata wapi kazi wewee ungeenda kusomea ualimu ndio kuna ajira saiv Tanzania,wenzio washakaa mtaani mpaka wamechoka,nenda ukajiajiri uanze kulima achana na ajira hiyo ni story
 
Jitahidi kufanya networking mdogo wangu... na kumuomba Mungu. Utapata...
 
Kama kilimo wana omba kupitia PSRS itakuwaje uko kwenye soshonetiweking'i. Njoo ulime viazi kwetu.
 
Yaaani mijitu inaboa mmeshindwa nyinyi maisha kazi kuwakatisha wtu tamaa,kueniiiiiii

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
:msela:

social work utapata wapi kazi wewee ungeenda kusomea ualimu ndio kuna ajira saiv Tanzania,wenzio washakaa mtaani mpaka wamechoka,nenda ukajiajiri uanze kulima achana na ajira hiyo ni story

Kama kilimo wana omba kupitia PSRS itakuwaje uko kwenye soshonetiweking'i. Njoo ulime viazi kwetu.
 
Habari wana jf mimi ni binti mwenye umri wa miaka 27 natafuta kazi arusha nina degree ya socialwork kutoka chuo kikuu cha dar es salaam kwa yoyote atakaeskia plss anijuze asanteni.
Hapa dada yangu naona unataka uue nyoka wawili kwa jiwe moja. unatafuta kazi huku ukitafuta mchumba. umejitangaza vizuri kweli.

nakushauri fanya postgraduate ya ualimu then tuwasiliane ili nikukonnect upate ajira tena Arusha na tena itakuwa serikalini maana unaonekana unapenda sana Arusha, na nikweli Arusha tamu kweli ukiizoea inakuwa kama kilevi vile bila Arusha hakuna raha.
 
balehe kifikra wewe ni wapi aliposema anataka mchumba? So wewe utakua huyo mchumba au cz umeonesha kutaka kumsaidia? Angekua mwanaume ungesema anatafuta nini? Usipende dunia iujue upumbavu wako kirahisi samtymz sitiri akili yako.
 
Nenda Marie Stopes Tanzania pale Arusha, wana projects kibao za social works, japokuwa Support Office yao iko Dar.
 
balehe kifikra wewe ni wapi aliposema anataka mchumba? So wewe utakua huyo mchumba au cz umeonesha kutaka kumsaidia? Angekua mwanaume ungesema anatafuta nini? Usipende dunia iujue upumbavu wako kirahisi samtymz sitiri akili yako.
Isiwe mkali hivyo. Ni jadi yetu watz kutaniana. Si umeona hata nimemuonesha mwelekeo kwenye post yangu. Arafu wewe ladyfocus wewe acha ukali huo.wachumba watakukimbia dadangu.
 
Safi sana nakupa LIKE KUBWA mamie

Ni vema mda mwingine mtu akanyamaza kuliko kuongea upuuzi
 
Isiwe mkali hivyo. Ni jadi yetu watz kutaniana. Si umeona hata nimemuonesha mwelekeo kwenye post yangu. Arafu wewe ladyfocus wewe acha ukali huo.wachumba watakukimbia dadangu.

sidhani kama watanikimbia the thing is huwa sipendi mtu alete utani kwenye mambo ya serious. Ntapunguza ukali basi loh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom