Natafuta kaz yoyote halali mjini morogoro

kancarl

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
1,182
573
Natafuta kaz ya kuuza dukan supermarkets agrovets elmu yangu form six
Naweza kuongea na kuandika lugha ya kiswahili na kingereza kwa ufasaha
Pia naweza tumia computer na software zake(office) genestats vizur
Kwa mawasiliano napatikana kwa namba 0766735455
Nashukuru sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapotaja wasifu wako kwenye kuandika na kuzungumza Kiswahili na Kiengereza kwa ufasaha unamaanisha nini hasa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom