Natafuta kampuni ya kunidhamini kupata leseni ya kinapa kwa ujira wa kuitumikia kampuni hiyo! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta kampuni ya kunidhamini kupata leseni ya kinapa kwa ujira wa kuitumikia kampuni hiyo!

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by john leonard, Apr 23, 2012.

 1. john leonard

  john leonard Member

  #1
  Apr 23, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni mvulana mtanzania mwenye umri wa miaka 26,niongeae kiingereza sanifu,mwenye uzoefu wa miaka miwili kwenye fani ya mlima kilimanjaro nikitumika kama mpishi na msaidizi wa kiongozi wa mlima,namiliki cheti cha utalii"advance certificate in wildlife and tourism",naomba mwenye uwezo wa kunisaidia kuendeleza fani yangu na kujiwezesha na kipato anisaidie.
   
Loading...