Natafuta Kampuni inayokopesha viwanja na kulipa kwa kukatwa kwenye mshahara

kidadari

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
8,647
9,573
Nahitaji kiwanja maeneo ya KIBAHA au CHANIKA ila sina hela cash hivyo kama kuna kampuni inayokopesha viwanja na kulipa kidogo kidogo kwa kukatwa kwenye mshahara wangu nipo tayari.

-Kiwanja kiwe na sqm 600 au zaidi.
-Bei isizidi milioni 3.
-Muda wa makato ni miaka mingapi?
-viwe vimepimwa itakua vizuri zaidi.
 
kidadari,
Tuna safari ndefu sana TZ ya viwanda na uchumi wa kati,yaani mfanyakazi wa TZ anashindwa kupata 3m cash ili anunue kiwanja? Nazungumzia mfanyakazi ambaye analipwa mshahara kwa mwezi.
 
Tuna safari ndefu sana TZ ya viwanda na uchumi wa kati,yaani mfanyakazi wa TZ anashindwa kupata 3m cash ili anunue kiwanja? Nazungumzia mfanyakazi ambaye analipwa mshahara kwa mwezi.
Asante kwa mchango wako boss!
 
Njoo nikupe ila advance ni 50% then inayobaki unalipa ndani ya miezi sita. Ukishindwa nakurudishia hela yako ila nitakata 30% ya usumbufu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom