Natafuta ''Jina langu Ramadhani'' (Clouds FM Jingle)

Interest

JF-Expert Member
Apr 11, 2015
3,434
7,055
Shalom,

Nimetokea kuipenda sana hiyo jingle. Kama kuna mtu anayo humu naomba anipatie, nitashukuru sana.

Naisikia redioni kila siku kwa wale wasikilizaji wa Clouds fm watakuwa wamenielewa.

Natanguliza shukrani..
 
Nnayo full audio,nipe namba ya simu,nkutumie kwa watsup
 
Shalom,

Nimetokea kuipenda sana hiyo jingle. Kama kuna mtu anayo humu naomba anipatie, nitashukuru sana.

Naisikia redioni kila siku kwa wale wasikilizaji wa Clouds fm watakuwa wamenielewa.

Natanguliza shukrani..
Unataka kuingia studio mkuu?
 
Mwaka 2012 kama skosei.. boti ilikuwa yatokea Dar kwenda Unguja
Nadhani umechanganya desa hapa mkuu.. Arafah mwaka huu nimeshuhudia onesho lake la kuukaribisha mwezi mtukufu wa ramadhani pale Al-Haramain..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom